Kudo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 1,821
- 6,119
Hakuna kitu kinachoniudhi kama hhawa paka wanakuja kulilia dirishani kwangu usiku wa manane afu inaliaga kama mitoto.
Niliwahi kutoka usiku wa manane na boksa tu kuwatimua walikuwa wanagombania mlangoni kwangu
Sikuwakamata nikaishia kutukana mitusi mizito tu dadeki
Kuna siku tena nilikuwa napiga shoo mara nasikia vishindo juu ya bati kisha wakaanza kulia kama watoto dah raha yote inakata asee
Hii tabia ipo sana uswahilini
Sijui ninyi wenzangu adha kama hii mmewahi kukutana nayo