Tuliowahi kukimbizana na paka usiku wa manane

Kudo

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2017
Posts
1,821
Reaction score
6,119
Hakuna kitu kinachoniudhi kama hhawa paka wanakuja kulilia dirishani kwangu usiku wa manane afu inaliaga kama mitoto.
Niliwahi kutoka usiku wa manane na boksa tu kuwatimua walikuwa wanagombania mlangoni kwangu
Sikuwakamata nikaishia kutukana mitusi mizito tu dadeki

Kuna siku tena nilikuwa napiga shoo mara nasikia vishindo juu ya bati kisha wakaanza kulia kama watoto dah raha yote inakata asee
Hii tabia ipo sana uswahilini
Sijui ninyi wenzangu adha kama hii mmewahi kukutana nayo
 
Duh nao walikuwa kwenye shoo huenda
Sjui kwa nn uswahili ila kwetu hawapo
 
Acheni. Tuli hamia kurasini sh.udongo miaka ya 1990, baada ya mzee kuuziwa nyumba pale ikiwa imekimbiwa na mwenye nayo. Inasemekana nyumba alijengea hela ya dhulma, so usiku walikuwa wanakuja mipaka kucheza pale usiku kucha kila siku, na ukimponda anakusemesha, ama unavimba mkono uliompondea.. Ni kweli ilikuwa changamoto sababu paka wana kila milio anzia ya mtoto mdogo hadi ya bi kizee akiongea. So mwenye nyumba aliiuza 4.2mil bei ya hasara. Mzee alikuwa mtu wa kanisani sana hakuamini katika uchawi. Wale paka ukuta wafensi kwanza tukaweka chupa, nakumbuka nimesomba sana chupa kutoka kiwanda cha vioo keko na torori. So ndo ilikuwa njia ya paka. Pili nikatengeneza manati niliwapiga paka hadi wakaacha kuja. Breki yao mzee akaenda kilwa road akauziwa mbwa. Tokea hapo sikuona paka akija
 
Duh nao walikuwa kwenye shoo huenda
Sjui kwa nn uswahili ila kwetu hawapo
Hatari sana uswahilini unaeza hisi vibibi vizee vinafinyana
 
Hao walikuwa wa kulogeana kuna wale waalnakuja wenyeww tu wanachapana mikono hatar ni mwendo wa kulia tu
 
paka wakiwa wanataka kugongana lazima sisi wenyewe hapa home kuna mmoja ikifika kipindi cha kupandwa utakasirika sana maana ni kelele mtindo mmoja
 
paka wakiwa wanataka kugongana lazima sisi wenyewe hapa home kuna mmoja ikifika kipindi cha kupandwa utakasirika sana maana ni kelele mtindo mmoja
Wanazinguaga kinyama
 
Wanazinguaga kinyama
Sasa unakuta anagombaniwa na dume wawili au watatu hapo ndo uta jua kwanini usitafute kiwanja kigamboni . wanakuja kwenye dirisha maana jike anajua anajioko. basi izo kelele ni hatari. wanaweza zungushana hata msaa 5 hadi jike aashike mimba ndo watatulia
 
Hahaaa huwa wananiboa sana hao viumbe kibaya ni pale wanapoanza kuparuana mmoja atalia hadi huruma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…