Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah tusiojua kurusha ngumi tungeteseka sana na huyo jamaaTulijikuta sero kosa hatukulijua kabisa kabisa ; Tulipata kosa tukiwa pale pale ndani ambalo ndilo tulilo litambua rasmi kua ni kosa ... Tulikua watu watatu siku hiyo tulipo ingia sero mdhamana haukukubalika kutokana na ishu kua ya mauaji sisi tulikamatwa eneo la tulio ..
# Tukiwa kizuizini kunajamaa flani alikua mshari sana na mwenye ubabe mwingi nilikua kimya sana
kumcheki jamaa zangu walikua waoga sana kwakweli mana alikua anatembeza Nako mbaya kwa wajamaa pale ndani ...
# Chakula cha madogo alikuwa anakila bila huruma na akuna alie sema kitu anajisaidia na kuamuru madogo wawajibike na usafi ni maneno toka kwa dogo flani aliekua pale ndani na alikua mwanafunzi nadhani aliwekwa pale kama kutishwa anakwenda gerezani mana alikua muhuni flani kwahiyo wazazi walicheza game na mkuu kama jaribio la kumshirikisha adabu ...
# Balaa lilikuja jioni ya siku hiyo hiyo jamaa kajaza alafu kesi yake jambazi ilipelekea watu kumuogopa sana akataka kuja kula kwanguvu jamaa zangu wananiambia mwache ale nikagoma akaleta matusi nikanyamaza siakataka kunipiga na ndoo ya kujisaidia ...
# Kickboxing nadhani mnajua alipo simama sikusubiri apige hatua mawashi ya shingoni hajatua chini ngumi za kichwani kama mvua alipasuka kama kapigwa visu mana alikuwa sio ngumi sana hakuweza kuzinduka pale mpaka alipofika hospitali ya wilaya mzee
Dhuuuuu mrembo hata wwMi matusi tu ya afande,
Hata sikumbuki nililala huko kwa nini!
Walinilaza aisee sitasahauDhuuuuu mrembo hata ww
Uliwakosea nn wakakulaza huko
Dhuuuuu Pole ulifanya nnWalinilaza aisee sitasahau
Kesi ya kipuuzi sana,Dhuuuuu Pole ulifanya nn
Ukakosa hata mtetez