Ketoka
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,117
- 1,966
Vipi katika harakati zako za kusaka demu,na bahati mbaya demu ni rafiki wa Dada ako umewahi kumtuma Dada ako akuunganishe ili umege mzigo?
Mi bwana imewahi kunitokea,nikampenda Dada ambaye alikuwa rafiki na Dada angu
Kwanza siku moja kaja nyumbani kumtafuta Dada ,bahati nzuri Dada hakuwepo,nikamuita nikapiga vina vyangu vikatolewa nje
Nikaamua niropoke kwa Dada ,niunganishe basi Dada
Dada akakubali kuunganisha halafu demu kakubali kiulaini
Siku ya kula nyapu Dada angu ndo alimleta hadi chumbani kwangu na kuniachia mtoto nikala
Ila nilikuwa na aibu kwa Dada asikwambie mtu,sijui huyo shost yake walikuwa wanasimuliana nini kuhusu mechi zetu