Tuliowahi kununua/kupata huduma bila umuhimu wowote, ili mradi unanyemelea mrembo tukutane hapa

[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ulivomuona kwa mara ya kwanza koridoni ukajua tayari
Mara paaaap...........
 
Enzi zike maduka ya JWTZ price Kitonga!

Nilikuwa nina shida na frigde. Kuna jamaa akanishauri kwa hela yng nikienda Duka la Jeshi, nitapata fridge kubwa!

Nikaenda flamingo Makongo. Daah. Fridge nilipata lkn kuna mrembo alinihudumia pale.... Ikabidi nipate ugonjwa wa kila shopping naenda pale.

Siku hizi vyuma vimekaza, huwa naenda hata kama Sina cha kununua!
 
Duuh. Pole sana. Ila hapo inabidi utangaze nia mapema sababu unaweza nunua maziwa weee hadi mwisho wa siku ukija kutangaza nia unajikuta ushachelewa hivyo unajikuta umeambulia patupu.
Ivi Dada yangu hapo akitangaza nia mapema si unaona biashara ya maziwa itadoda?

Huo uteja nimeupenda bure [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ivi Dada yangu hapo akitanganza nia mapema si unaona biashara ya maziwa itadoda?

Huo uteja nimeupenda bure [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahaaaa. Nahofia asije chelewa mdogo wangu.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Daa kuku wa kizungu nimekula xana kipind namunyemelea jirani ,nilitumia kuku kama mtego ili aingie room tu ,nashukur nilifanikiwa
 
Kuna njemba hapa street zilikuwa zinakula mapera balaa kisa demu anauza habari walikuwa wanaipata kwenye kutoa haja kubwa. Ila hakuna aliyekula mzigo waliambulia kutatuliwa malinda kila siku na mbegu za mapera.
Hahahaha!. Mkuu umenichekesha Sana aisee.

Njemba zinaambulia kutatuliwa Marinda tu na Mapera. Hahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…