mzama chumvini
JF-Expert Member
- Mar 14, 2016
- 730
- 642
thanksPole mzee peterchoka
Hihihihihih hapo kwenye vikombe hapo dah ila pole sanaNakumbuka kuna siku wakati natembea Tabata relini sijui hili wala lile kumbe kuna lori limehama njia basi natembea tu kitozi.....Ebwana kuja kushtuka nakuta tairi mguuni kwangu baada ya lori kuingia mtaroni.....
Nyingine kuna siku nikiwa Dogo nilienda kuogelea Coco beach si nikajifanya fundi nilizama na kunywa vikombe vya haja ht csijui washikaji waliniokoaje, Nilitoa macho km chura...hadi leo hata nishikiwe fimbo sitaki kuogelea staili yangu ni kuingiza miguu tu
SITASAHAU
Ahsante mkuuHihihihihih hapo kwenye vikombe hapo dah ila pole sana
Hahahaha...hata kitu kiwe serious vipi watu kama nyie wapo tuu...Mm nakumbuka ya ndege mwaka 2010,yaaan ndege ilivyofika angani badala ya kwenda mbele ikawa inarudi nyama,basi rubani akaona sio shida akaiyacha tukarudi nyuma ilivyotaka yenyewe ikatua kwenye mashamba ya tumbaku Zimbabwe
Ilikuwa tarehe 21 mwezi wa sita mwaka 2014 nilipatwa na ajari ya kondomu kupasuka wakati demu niliyekuwa naye alikuwa nikicheche balaa,nashukuru mungu binti hakuniambukiza ukimwi.
Dah!! Hahaa seriously?Ctasahau nilipogongana na mwanafunzi mwenzangu yeye anatoka darasan kwa kukimbizwa mim anaingia kwa kukimbia,alitoka jino moja mim niliumia sana usoni.
Hii nayo ajali