Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Vp lakini makalio yapo salama??
 
Duuh kumbe mimi sijachezea pesa nyingi mimi nilikamata 65m. Sinywi pombe zipu nilifungua kidogo tu wala haikuzidi laki3.
Mzigo ulikata ndani ya miezi 4 tu chali. Nilikutana na watu sio sahihi katika biashara wakafuja mtaji. (Fundisho)
 
Kwa mara ya kwanza kudraw hela ya Forex 2 Million, kwa akili zangu those days iyo hela sio rahisi kuisha.

Niliwahi lipia mhudumu mmoja alikuwa off duty nauli ya Tax usiku saa 7 aje anichanganyie cocktails eti siwezi kulala bila iyo kitu.

Ilikuwa ukinikuta nimetulia bar hata kama sikujui na umenizidi umri utasikia, "mbona unanikosea adabu, weita mpige huyu na bia anazotaka" hapo niko na John walker red label.

Mamaaaee ile hela hata Boksa sikununua.
 
Tarehe kama ya leo mwaka uliopita nilikuwa na milioni 40 bank
Leo hii cjui hata siku itaishaje Yaan sina uhakika wa Milo mitatu
Pesa hizi
pole sana ndugu ni maumivu makubwa.
Mimi December tarehe 10 nilikuwa na 10M hadi kufikia tarehe 5 mwaka huu nilikuwa sina hata 100,.
Jana kuna mama tulikuwa tunapiga story anamjengo mkali kinoma akawa anasema kuna kipindi alikuwa na pesa nyingi zaidi ya mil 300 Bank akawa anawapa hadi watoto wake kadi wakatoe pesa hata wakizidisha hafatili ila sasa amefulia hata account ya bank hana.
 
Hatari sana unaweza kudata iv iv
 
Kweli
 
Dah nimejifunza kitu hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…