Tuliowahi kupata pesa na kufilisika/kufulia, tujikumbushe hapa

Kweli mkuu
 
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Sio end
 
Ukipigika kuna wakati hata vumbi linakupausha, ila ukiwanazo bwana hata vumbi linakuogopa..

Ulishazoea kuwa na confidence, maana mfuko ukiwa vizuri binadamu hata confidence anakuwa nayo....sasa ukipigika dah hata ile confidence inapotea na muda wote unakuwa na hasira..

Tumuombe sana Mungu alinde vipato vyetu, Tumuombe sana Mungu atubariki tuwe na vipato vizuri..
 
Acheni mazee sie wa mererani tusemeje? Chalii yangu inauma hadi inanipa wenge ukikumbuka billion zimepita mikononi na kuishia kwenye starehe kwa matumaini nitapiga nyingi zaidi....mtondogoo huna hata buku!!

Maisha ya imani kwamba kuna kesho nzuri ya kupiga pesa zaidi yanakwamisha hatua za wengi...hasa kada za watu wanaopokea pesa kila siku iwe halali (mfano bodaboda, mafundi, wachimba and wauzaji wa madini etc. au illegal (rushwa kama baadhi ya taasisi nyeti)
 
😂😂😂
 
Mkuu nakubali lakini sio milioni 50. Wakati nipo chuo kuna bro mmoja tulikuwa tunasoma naye aliletewa Uwoya kwa laki 6,bata na dalali ilitumika kama 1m tu pale Maisha Club
Alikulaa utamu???? Au kukaa nae tu???
 

Nipe story mzee maana na mie Nipo porini nijifunze kwako.
 
Chumaulete hapo ni uongo.. mali bila daftari huisha bila habari

Sent from my JSN-L21 using JamiiForums mobile app
 
Laki tano hukumla tigo??? shangazi ezekiel I!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…