Mwanadiplomasia Mahiri
JF-Expert Member
- Nov 4, 2019
- 491
- 1,907
Mkuu Chai yako ya Maziwa alafu inatangawizi kwa mbalii[emoji23][emoji2957]aisee ni hatari sana nilisha wahi kupanda basi la kimotiko kutoka musoma hadi arusha.... kwa kweli safari ni burudani kabisa.
utalii for free...
Hivi kuna njia nyingine au ndio hio hio mana mimi nishawahi fika Simiyu ila Ni kama njia ya Serengeti tuliiacha nyuma sana,aisee ni hatari sana nilisha wahi kupanda basi la kimotiko kutoka musoma hadi arusha.... kwa kweli safari ni burudani kabisa.
utalii for free...
Safari mbaya kinoma yaani vumbi, na kuchoka unafika nyumbani mwili unauma. Next time hio safari nitatumia zile Land Rover za 50k nipite road..Hii ruti ya kiume sana, barabara ni ya vumbi unakatiza katika hifadhi za taifa za Serengeti na Ngorongoro hivyo unafanya utalii wa ndani bureee...
kwenda Simiyu pale Fort Ikoma unaingia kushoto.Hivi kuna njia nyingine au ndio hio hio mana mimi nishawahi fika Simiyu ila Ni kama njia ya Serengeti tuliiacha nyuma sana,
Au anayeendelea mpk musoma ndio anafika huko?
Kwahio hufiki bariadi mjini?kwenda Simiyu pale Fort Ikoma unaingia kushoto.
Si ndio Simiyu yenyewe? Sasakwa ni kaskazini zaidiKwahio hufiki bariadi mjini?
Nlipita maramoja cant dare kupita tena. NlijutaHii ruti ya kiume sana, barabara ni ya vumbi unakatiza katika hifadhi za taifa za Serengeti na Ngorongoro hivyo unafanya utalii wa ndani bureee.
Gari za huko ni zile ngumu, hakuna Yutong wala Zhongtong. Kuna muda ndani hamuonani kwasababu ya vumbi la barabara.
Hii ruti haifai kwa mama mjamzito kwani anaweza akajifungua kabla ya siku zake, kwa maana madereva wanatembeza sana moto kumbuka asilimia 80 ya safari ni mbugani hivyo hakuna tochi za trafiki.
Umeshawahi kupita ruti hii? Tueleze uzoefu wako
What happened?Nlipita maramoja cant dare kupita tena. Nlijuta
Barabara ni vumbi tupu, ila una-enjoy sana kuona mambo mengi barabaran, kama wamasai wakichunga mifugo yao pamoja na wanyama wa polini.Hii ruti ya kiume sana, barabara ni ya vumbi unakatiza katika hifadhi za taifa za Serengeti na Ngorongoro hivyo unafanya utalii wa ndani bureee.
Gari za huko ni zile ngumu, hakuna Yutong wala Zhongtong. Kuna muda ndani hamuonani kwasababu ya vumbi la barabara.
Hii ruti haifai kwa mama mjamzito kwani anaweza akajifungua kabla ya siku zake, kwa maana madereva wanatembeza sana moto kumbuka asilimia 80 ya safari ni mbugani hivyo hakuna tochi za trafiki.
Umeshawahi kupita ruti hii? Tueleze uzoefu wako
Kwa sababu unapita hifadhini na ni 'rough road' ukipata land cruiser utafurahia mno utalii na safari.Nlipita maramoja cant dare kupita tena. Nlijuta
Safari mbaya kinoma yaani vumbi, na kuchoka unafika nyumbani mwili unauma. Next time hio safari nitatumia zile Land Rover za 50k nipite road..
Za kihoma mbona zilikuwa hivyo hivyo?Hii ruti ya kiume sana, barabara ni ya vumbi unakatiza katika hifadhi za taifa za Serengeti na Ngorongoro hivyo unafanya utalii wa ndani bureee.
Gari za huko ni zile ngumu, hakuna Yutong wala Zhongtong. Kuna muda ndani hamuonani kwasababu ya vumbi la barabara.
Hii ruti haifai kwa mama mjamzito kwani anaweza akajifungua kabla ya siku zake, kwa maana madereva wanatembeza sana moto kumbuka asilimia 80 ya safari ni mbugani hivyo hakuna tochi za trafiki.
Umeshawahi kupita ruti hii? Tueleze uzoefu wako
Naomba nielezee tena..Si ndio Simiyu yenyewe?
Naomba nielezee tena..
Ili uipite mbuga ya seregeti ukiwa unaenda Tarime, Jee lazima ufike Simiyu(bariadi)?
Au kabla hujafika bariadi kuna njia nyingine unaingia?
Maana kama sikosei nilipita sehemu nikaona kibao kimeandikwa serengeti, ni upande wa kulia kama unatokea arusha,
Japo gari niliyokua nimepanda(Kimotco) kutoka arusha ilikua inaenda Musoma mi nikaishia Bariadi na sikupitia mbugani(Serengeti),
Sasa naomba kunielewesha, jee zipo njia mbili za kuingia Tarime? Means kuna ambayo sio lazima ufike bariadi?
Au kuna kitu nachanganya?
Kwenda Tarime kutoka Arusha via Serengeti ni rahisi zaidi kuliko kuzungukia Bariadi, Inawezekana Basi lilipita huko kwa ajili ya Abiria.NB: jibu la swali la kwanz ni muhimu.
Vumbi, magari yanajaza sana, mbuzi kuku ndani fujo tu, watu wanakula mahindi ya kuchoma nyama aggrrrrrrr sitaman tena,What happened?
Hiyo ni kawaida karibia ruti zote za Lake Zone mkuu.Vumbi, magari yanajaza sana, mbuzi kuku ndani fujo tu, watu wanakula mahindi ya kuchoma nyama aggrrrrrrr sitaman tena,