Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
Kabla ya kuanzisha uzi ingebidi uwe ulishakiandaa Mkuu.Narudi, ngoja niandae kisa kisha nikipaste hapa...
Karibuni kwa shuhuda
Mkutane, mnataka muende wapi?Narudi, ngoja niandae kisa kisha nikipaste hapa...
Karibuni kwa shuhuda
kwa mama samiaMkutane, mnataka muende wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23]Uzi umejaa uharo!
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
ππππππHoneyyyyy
Nilisha shikwa na tumbo la kuhala katikati ya mbuga ya Mikumi nikiwa ndani ya basi, ikabidi nimuombe dereva nishuke nikajisaidieNarudi, ngoja niandae kisa kisha nikipaste hapa
Karibuni kwa shuhuda
ππ Dah, nimecheka sana kama mjinga. Japokuwa ni story ya kutungaHii ilimtokea ndugu yangu mmoja, alikuwa anatoka Tarime-Mwanza. Akafakamia chakula asbh plus maziwa mgando, sasa kufika katikati ya safari tumbo likaanza kumsumbua mara kuendesha kumepiga hodi, si akaogopa kumwambia konda akachimbe dawa, ( alikuwa hajui kiswahili enzi hizo) ikabidi ajimalize kwenye suruali, mara paap mzigo unashuka chini, ikabidi achukue kamba za viatu afunge suruali chini kwenye miguu mzigo usishuke.
Mda kidogo harufu ikaanza kuenea kwenye gari abiria wakaanza kulalama, jirani yake akamshitukia akamtaja, yaani alishushwa kwenye gari kama Yona alivyotoswa baharini.
Mkuu ,na sisi watu wazima tunapita hapa jaribu kutuheshimu mkuu Wang ππHii ilimtokea ndugu yangu mmoja, alikuwa anatoka Tarime-Mwanza. Akafakamia chakula asbh plus maziwa mgando, sasa kufika katikati ya safari tumbo likaanza kumsumbua mara kuendesha kumepiga hodi, si akaogopa kumwambia konda akachimbe dawa, ( alikuwa hajui kiswahili enzi hizo) ikabidi ajimalize kwenye suruali, mara paap mzigo unashuka chini, ikabidi achukue kamba za viatu afunge suruali chini kwenye miguu mzigo usishuke.
Mda kidogo harufu ikaanza kuenea kwenye gari abiria wakaanza kulalama, jirani yake akamshitukia akamtaja, yaani alishushwa kwenye gari kama Yona alivyotoswa baharini.
ππJamaa sijui anatuchukuliaje kwa kweliMkuu ,na sisi watu wazima tunapita hapa jaribu kutuheshimu mkuu Wang ππ