Tuliowahi kushikwa na tumbo la kuhara kwenye mazingira hatarishi tukutane hapa

Dah kwenye necta pepa la physics niliondoka na F

Siunajua ule uharisho ambao hauishi kila dakika unajaa makalioni
 
Umejitaidi kuzuia umbali wooote ule, ila ukisha ona mlango wa choo tu, swaaaa uvumilivu unakushinda keisha ft squizer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…