suley wa tz
Senior Member
- Feb 14, 2017
- 116
- 138
Usikurupuke ka Digidigi kichakani. Soma uzi uelewe kwanzaUnanunua bando unaingia jf unapost alafu unasema huna nauli ?
Unataka huruma za watu ama ? Kwa maneno mengine umeomba hela indirect, pambana mkuu , khs kutembea Ni mazoezi
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ungekula mishkaki yako mkuu ?
Acha kuziendekeza dhikiWakuu Mimi rekodi zangu nimevunja hapa hapa dar inatokea nishakula nauli kwa hiyo option ya mwisho ikawa Ni kuprint by ngoko.nishatoka kariakoo mpaka segerea kwa mguu,pia route ya ubungo mpaka buguruni Mara kibao tu.ni nyakati tu zinatokea katika maisha.hapa yenyewe Sina hela mfukoni wakuu naona Bora hata nisimwombe mtu nitembee tu Niko mubashara barabarani napiga Hamza kanuni mdogo mdogo kutoka posta mpaka buguruni.tutadata tutanyoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee sitosahau siku nilikua na dada mmoja mzuri nampenda lakini alikua hanipendi yaani ukiomba mechi mpaka upewe mwezi. Basi siku moja nikasema nataka nije Kwa Azizi Ali tuongee akasema usije, nikaenda bana nikafika nikamtext sijui alisema nini nilikua kama nina 12000 kwenye tigo pesa nikamtumia nikasema basi tumia hiyo kutatua shida yako, kumbuka hapo hakuja sababu alisema nisije nikajitia kiherehere so mimi nikapiga mguu from Azizi Ali mpaka Magomeni Morocco Hotel. Aiseee sitosahau. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwaka 2008
Duuh tukuyu mpaka uyole?? khaaUnasema Posta mpaka Buguruni? Tehe tehe, niulize mimi, nilipiga ngondi kutoka Tukuyu mpaka Uyole narudi nyumbani Dar es salaam kwa miguu. Jua linachomoza mpaka linazama mi niko njiani natembea sina hata hela ya kula. Nikifika Uyole usiku nikakutana na wasamalia wakanikaribisha chakula na ulabu. Sikukataa nilikula na kunywa nilivyolewa ndio ikawa nauli yangu. Nilirukia roli nikajificha kwenye magunia ya viazi wakaja kunishtukia alfajiri tushafika Mikumi, wakaona waniache tu mpaka Chalinze na hela ya kula wakanipa. We acha tu.
Mkuu mi nshapiga tokea Krokon mpaka Tengeru, nilifika kule nikaumwa na kesho sikutoka miguu imevimba mzeeTulikuwa na mshkaji wangu,tupo mitaa ya kilombero na mishe mishe,sasa bhana ujanja ujanja nikapiga had nauli jamaa hana kitu,tulitembea kuanzia frence corner hadi kidemi(ngalimi), tunajipa moyo kishenzi eti ni mazoezi kumbe hatuna nauli
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Nakumbuka kipindi hicho nishawahi kutembea kutokea Sakina mpaka Moshono,baada ya kutumbua mpaka nauli Tripple A!