HUJAELEWA ANACHOTAKA KUTUSHIRIKISHA HAPA....SOMA VIZURI POST USIKURUPUKE!! NYINYI NDIYO MLIKUWA MNAFELI MITIHANI KWA KUTOKUSOMA VIZURI MASWALI!!!Unanunua bando unaingia jf unapost alafu unasema huna nauli ?
Unataka huruma za watu ama ? Kwa maneno mengine umeomba hela indirect, pambana mkuu , khs kutembea Ni mazoezi
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Alikunyoosha aisee...Na nyingine ambayo nayo sitasahau ni kipindi nasoma Itaga Seminary, iko Tabora mbali sana na mji! Tulipigwa suspension na washkaji zangu kadhaa miaka hiyo, na taarifa zilikuwa zinakwenda Jimboni mjini, wazazi wanapewa taarifa wanakuwa wanawasubiri hapo jimboni mletwe toka huko shule wakabidhiwe, sasa mzee wangu mimi alivyokuwa bandidu akaongea na Padri ambaye kesho yake ndo angetupeleka hapo jimboni kuwa aniache njiani kama adhabu, dah lile padri bhana kesho yake tumepanda 'MIVA' nashangaa ananichomoa peke yangu hapo ananambia baba yako amesema utembee mpaka mjini na utamkuta yeye anakusubiri...daah sikuamini kabisa ila jamaa akachochea ndinga na mabegi yangu na masela zangu huko ndani wakasepa! Aisee nilitembea siku ile sitasahau, na nilimchukia sana mzee wangu, na njia ile ilikuwa hatari sana miaka hiyo haina magari wala wanavijiji wengi njiani, nimetembea kama masaa mawili nakutana na jamaa ana baiskeli na mkaa, akanipandisha nyuma juu ya mkaa, napo nikawa mzigo tena kwake maana njia ina mchanga kiasi akanishusha kama baada ya kilomita moja tu hivi, nikatembea tena kidogo nikaona yule padri ameamua kuja kunifuata tu! Tunafika jimboni nako dingi hayuko kawaambia ashasikiliza kesi yangu yeye kasepa na mabegi niende home kwa mguu, kwa wanaoelewa kutoka Tabora mjini mpaka maeneo ya Cheyo A maanina! Nakumbuka pia na mama aligombana sana na mzee ile nimefika home! Kwa adhabu ile Nilikoma utundu na ujinga shule! Nilikuja mshukuru mzee baada ya matokeo ya form two kutoka mwaka huo huo! Maana kwa utundu ule nisingetoboa hakika
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna wazee wakatili ha ha ha ha haNa nyingine ambayo nayo sitasahau ni kipindi nasoma Itaga Seminary, iko Tabora mbali sana na mji! Tulipigwa suspension na washkaji zangu kadhaa miaka hiyo, na taarifa zilikuwa zinakwenda Jimboni mjini, wazazi wanapewa taarifa wanakuwa wanawasubiri hapo jimboni mletwe toka huko shule wakabidhiwe, sasa mzee wangu mimi alivyokuwa bandidu akaongea na Padri ambaye kesho yake ndo angetupeleka hapo jimboni kuwa aniache njiani kama adhabu, dah lile padri bhana kesho yake tumepanda 'MIVA' nashangaa ananichomoa peke yangu hapo ananambia baba yako amesema utembee mpaka mjini na utamkuta yeye anakusubiri...daah sikuamini kabisa ila jamaa akachochea ndinga na mabegi yangu na masela zangu huko ndani wakasepa! Aisee nilitembea siku ile sitasahau, na nilimchukia sana mzee wangu, na njia ile ilikuwa hatari sana miaka hiyo haina magari wala wanavijiji wengi njiani, nimetembea kama masaa mawili nakutana na jamaa ana baiskeli na mkaa, akanipandisha nyuma juu ya mkaa, napo nikawa mzigo tena kwake maana njia ina mchanga kiasi akanishusha kama baada ya kilomita moja tu hivi, nikatembea tena kidogo nikaona yule padri ameamua kuja kunifuata tu! Tunafika jimboni nako dingi hayuko kawaambia ashasikiliza kesi yangu yeye kasepa na mabegi niende home kwa mguu, kwa wanaoelewa kutoka Tabora mjini mpaka maeneo ya Cheyo A maanina! Nakumbuka pia na mama aligombana sana na mzee ile nimefika home! Kwa adhabu ile Nilikoma utundu na ujinga shule! Nilikuja mshukuru mzee baada ya matokeo ya form two kutoka mwaka huo huo! Maana kwa utundu ule nisingetoboa hakika
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha utani Posta-buguruni karibu mno haikutakiwa hata kuanzisha uzi,Wakuu Mimi rekodi zangu nimevunja hapa hapa dar inatokea nishakula nauli kwa hiyo option ya mwisho ikawa Ni kuprint by ngoko.nishatoka kariakoo mpaka segerea kwa mguu,pia route ya ubungo mpaka buguruni Mara kibao tu.ni nyakati tu zinatokea katika maisha.hapa yenyewe Sina hela mfukoni wakuu naona Bora hata nisimwombe mtu nitembee tu Niko mubashara barabarani napiga Hamza kanuni mdogo mdogo kutoka posta mpaka buguruni.tutadata tutanyoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nilitembea kutoka kkoo hadi Gongo la Mboto kisa GEROGE BUSH foleni zimebana balaa.Wakuu Mimi rekodi zangu nimevunja hapa hapa dar inatokea nishakula nauli kwa hiyo option ya mwisho ikawa Ni kuprint by ngoko.nishatoka kariakoo mpaka segerea kwa mguu,pia route ya ubungo mpaka buguruni Mara kibao tu.ni nyakati tu zinatokea katika maisha.hapa yenyewe Sina hela mfukoni wakuu naona Bora hata nisimwombe mtu nitembee tu Niko mubashara barabarani napiga Hamza kanuni mdogo mdogo kutoka posta mpaka buguruni.tutadata tutanyoka
Sent using Jamii Forums mobile app
Watumwa walikua wanatishwa ukuu mwenzako anapigwa risasi pembeni hapo akizingua we unazani unaweza kuleta fyokoAcha utani Posta-buguruni karibu mno haikutakiwa hata kuanzisha uzi,
Mimi nilitembea toka posta mpaka chamanzi kwa mapunda, kuna dada mmoja msenge ndo aliesababisha.
Hela nlikuanayo 2000 yule dada ana renew chip maana nlipoteza chip kuna hela mule nlikua naitaka(kumbe line ukii renew huwezi kutumia huduma za kifeza mpaka masaa sijui mangapi yapite mi nilikua sijui, maana alinmbia ntaitumia line muda uleule hela ya nauli nikaitumia ku renew mbona nilijuta)
nikafika mbagala hoi nilikua nna mkeka nikaenda meridian kuumulika timu zote zimechana ikabidi nimalizie safari.
Watumwa na wenyewe walikua wasenge sasa sijui waliwezaje kutembea kutoka dar mpaka Congo?
Yule mzee alikuwa bandidu sana, ila namshukuru sana sasa hvKuna wazee wakatili ha ha ha ha ha
ulikua na upungufu wa nauli ama uliamua tu kufanya zoezi mkuu?maana kama ulitembea mpk Ubungo afu ukapanda gari tena😛 . by then kulikua na daladala za Muhimbili - Mbezi, si ungepanda hizo tuKipindi niko field MUHAS ...Muhimbili hospital mpaka ubungo nikapanda daladala mpaka kimara..ningemalizia tuu sema giza lilikuwa limeingia na kesho natakiwa kazin..
Sent using Jamii Forums mobile app
Nishawa kupoteza naulii kipindi hich niko arusha nilitoka sanawari hadi ngaramtoniii duu sitasahauuuuu nanyoosha barabara kama mwendawazimuWakuu Mimi rekodi zangu nimevunja hapa hapa dar inatokea nishakula nauli kwa hiyo option ya mwisho ikawa Ni kuprint by ngoko.nishatoka kariakoo mpaka segerea kwa mguu,pia route ya ubungo mpaka buguruni Mara kibao tu.ni nyakati tu zinatokea katika maisha.hapa yenyewe Sina hela mfukoni wakuu naona Bora hata nisimwombe mtu nitembee tu Niko mubashara barabarani napiga Hamza kanuni mdogo mdogo kutoka posta mpaka buguruni.tutadata tutanyoka
Sent using Jamii Forums mobile app