Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,635
- 4,160
Hii ni kwa nia njema tu ya kutaka tupeane eksipiriensi ya kutongoza wanawake mijeda hasa wakiwa kwenye zile gwanda zao zile.
Ni jana tu,
Nimeshuka zangu kwenye daladala mitaa ya Survey, nikaingia steshenari kununua peni 1 ya mbili aina ya Obama na plain paper ya Sh. 100 ili niandike barua yangu ya kuomba hizi nafasi za kazi za TANESCO zilizosambaa mitandaoni hizi.
Sasa ile natoka steshenari tu namwona mdada wa makamo, mwenye shepu matata,
Na hips noma kama za sanchoka.
Aliponipita nd'o nikashuhudia video vya bure kabisa,
Yaani wezere linavaibreti ndani ya gwanda mithili ya tetemeko la ardhi lenye kani mnyanyuo ya juu inayoriakti na kani msukumo.
Pale ikabidi nimkimbilie fasta, na uzuri ni kwamba upande aliokuwa anaelekea wa kule Chuo Kikuu cha Ardhi hakukuwa na watu wengi.
Nilipomkaribia,
Nikamsabahi kwa unyenyekevu wa kiwango cha flyover,
Huku nimewekeka mikono kifuani kama 'Baba Paroko' wa Parokia ya Magwepande.
Bila ajizi nikajitambulisha,
Nikamwomba radhi kwa usumbufu,
nikamwambia naomba nimuulizie mambo kadhaa na anipe mwongozo kuhusu hizi nafasi za jeshi zilizotangazwa ili na mimi niombe.
Binti (mjeda) akatabasamu sana,
Akaniambia
"You look so decent guy,
And this country needs people your kind.
You just apply as it has been announced- you'll get selected."
Akaendelea kutabasamu.
Nikaona hapahapa nd'o pa kutupia kipengele cha tongozo hapa!!!
Mdogomdogo nikaanza kumhamisha kwenye mada na kumsogeza tongozoni taratiiibu na mosheni ikabadilika mithili ya chupa ya togwa iliyokuwa juani inapohamishiwa kivulini!!!
Mtoto (mjeda) hakukubali wala hakukataa.
Akaniambia;
"I can see we need to have a time to talk. May I have your address so that I can trace you by tomorrow".
Nikampa namba yangu ya Airtel fasta,
Tukaagana kwa bashasha huku nikiwa nafurahi, nashangilia na kurukaruka!!!
Yaani tangu jana usingizi ni wa mang'amung'amu kichizi nikitafakari ule ujasiri wa kumwendea The Lady Jeda.
Sasa jioni hii kanitext kaniambia niende mitaa flani karibu na kambini kwao, kisha tuondokoke sote kuja kitaa- bado sijamjibu.
---------
Sasa wakuu nipeni eksipiriensi-
Hapo kuna dalili njema hapo?
Hasa kwenye hiki kipengele cha kuitana mitaa ya jirani na kambini??