kama kuna askari mwenzake ana mahusiano nae,jiandae kufyeka nyasi kwa meno kuzunguka hiyo kambi!wanakuaga na umoja sana hasa wanume!Hahaha
Huruma gani hiyo jirani
Aiseeekama kuna askari mwenzake ana mahusiano nae,jiandae kufyeka nyasi kwa meno kuzunguka hiyo kambi!wanakuaga na umoja sana hasa wanume!
Hawa watu wana adhabu za ajabu kweli!Kuna jamaa aliwahi pewa adhabu ya kushusha kokoto lori nzima kwa kuokota moja moja kama punje za mahindi!na waligombania tu dem mjini!Aiseee
Hahahaaaa eti Mt.Makrina...kumbuka mbali sanaaa.Wanaume mna kazi si kidogo....sipati picha ulivyokuwa Mt.Makrina!!!!
Hapo lazima jasho la pua likutoke!!!!Hawa watu wana adhabu za ajabu kweli!Kuna jamaa aliwahi pewa adhabu ya kushusha kokoto lori nzima kwa kuokota moja moja kama punje za mahindi!na waligombania tu dem mjini!
Nimecheka sana eti nikiwa nimevaa kofiaNatamani siku moja nigegede traffic police akiwa kavalia sare yake lakini mimi nikiwa nimevalia ile kofia yake.
Kuna kale ka afande Hadija kembamba keusi pale Mbezi Louis huwa natamani hili tukio awe ni yeye.
Afande Hajida kama upo humu JF naomba ni PM au kama kuna mtu ana namba zake au anamjua naomba namba au naomba mumwambie
JamaaniiHahahaaaa eti Mt.Makrina...kumbuka mbali sanaaa.
Hivi wee ni DUME au umemix Id?? Mimi mawazo yangu yoye wee ni jike.Nikiwa kijana niliwahi mkuta mdada mgeda akiwa na chemba langu, wako kama walivyotoka kuzaliwa, nikatungua zile suti za mgeda nikatambaa nazo. Jaza matokeo. Ilikuwa tbr miaka mingi nyuma.
Yaani JF duh umenichekesha sana eti katubebea akili... This is second big laugh since morning...unatubebea akil askari gani anajua kingerez hivo au ni FBI