Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Dah, nakumbuka kama story mbili hivi,
Ya kwanza Nilikua namtumia demu wangu sms "mambo mrembo", kumbe nikaituma kwa mshua, dah nilichezea makofi heavy (nilikua o level)
Ya pili Nilikua nachat na mshikaji wangu kinoma noma, Kati Kati ya chatting nikamwandikia "wewe fala nenda ukany*e"" bahati mbaya ikaenda kwa shangazi, alinipigia simu, hila alijua nimekosea,
Mwisho, nilimtumia demu wangu sms "umesumeshakula" kwa haraka zangu nikaandika "umeshakuny*a"??........
Kwa kweli sitasahau.
Opondo ja shirati
Dah mi juzi nimetoka kwa mchepuko nikawa nautumia meseji ya kumshukuru kwa kunikatia kiuno vizuri...dah mara ile msg naona inaenda kwa wife, alipoisoma jicho alilonikata nlitamani kufa yaliyoendelea ni siri yangu
Mkuu nimecheka sana dah....asante kwa kufanya usiku wangu murua[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Dah, nakumbuka kama story mbili hivi,
Ya kwanza Nilikua namtumia demu wangu sms "mambo mrembo", kumbe nikaituma kwa mshua, dah nilichezea makofi heavy (nilikua o level)
Ya pili Nilikua nachat na mshikaji wangu kinoma noma, Kati Kati ya chatting nikamwandikia "wewe fala nenda ukany*e"" bahati mbaya ikaenda kwa shangazi, alinipigia simu, hila alijua nimekosea,
Mwisho, nilimtumia demu wangu sms "umesumeshakula" kwa haraka zangu nikaandika "umeshakuny*a"??........
Kwa kweli sitasahau.
Opondo ja shirati
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Aisee kukosea Msg iliwahi nikuta niliandika Msg ndefu ya mahaba mwisho nikaandika Jina la demu mwingine na Kumtumia demu mwingine...[emoji23][emoji23][emoji2089][emoji2089]Mm nilikosea ktk mademu zangu nimpendae zaidi ni miss yani English figure but nina size ya kati na tipwatipwa sasa nilikuwa nachati na wote at the same time si nikakosea nikamwambia yule miss "ebwana fanya mazoezi upunguze huo ubonge juzi umenitoa jasho sana kukugeuza"
Huku huyu modal nna zaidi ya mwezi sijaonana naye ilibidi nifake"baby unajua umekuwa bonge mm napenda uwe vilevile"
Kumbe alishastuka na tunavyoongea hapa imebaki story
Wengine tumezaliwa kuchekesha watu humu duniani,.barikiwaMkuu nimecheka sana dah....asante kwa kufanya usiku wangu murua[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Mkuu ungejua umri nilio nao kipind hiki duuh anyways labda bado naweza kuwa mtoto kwako.ila hiyo experience ni Zaid ya miaka 15 nyumaWatoto mna Mambo[emoji3]
Kaka acha tu si unajua hela za kupewaga zinavyokuwa zinatia hamasa kuzitumbua halafu unajipa moyo utarudisha tu....miaka mingi lkn huko nyuma unaweza ku imagine ukipewa laki Tisa unavyojiona don.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Aisee kijana ulikanyaga waya wa umeme... Unataka ugongee adaa
Mkuu acha tu...yaani najua mzee angemind hapo niliposema niliekuwa namdai kanilipa...Hahhahaha we jamaa nmecheka kifala sana
hahaaaahaaa...yani dingi anakupa hela af unasema kuna mtu namdai kanilipa ?? angekuua wallahR.i.p bi mkubwa,moja ya matukio ambayo Maza aliniokoa ni hili kukosea msg halafu ikaenda kwenda mzee bahati nzur mda huo Maza alikuwa na simu ya mumewe anacheza game akaisoma coz namba yangu ni nyepesi akawa na uhakika imetoka kwangu akifuta bila mshua kujua.huwezi Amin ilikuwa nimetoka kupewa ada ya chuo usiku huo nikawa nampanga demu nyumba ya jirani twende kigamboni eti niliekuwa namdai kanilipa.kwa ninavyomjua mzee wangu siku ile ndio ingekuwa mwisho wa chuo...nilipewa risala Kali na asubuh tukaongozana na bimkubwa Hadi crdb azikiwe branch kuweka ile hela.
Ha ha ha, hii kaliUjinga mwingne ni wasap, ile ku set popup msg, unatype unamjib huyu kwenye ku send ishaingia nyingnee inaungaaaa,
haya mambo hayaaa banaa, waweza umuombe dingi yako papuchuu, tena unafanya kumbembelezaa, unamwambia usiogopeee hawatajuaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii noumaaaaaami nakumbuka nilipambana kutoa betrii nikasahau simu hata haina mfuniko,
batan ya power nayo haishikikiiii, msg icon n km inaterezaa, sijakaa vizur naambiwa msg derivered,
nilichofanya ni kuendelea kujichatisha maneno km yale yalee,
halaf mwishoni nikamwambia...
'nijibu haraka hamna umeme nimeomba tuu simu nikaweka laini kwa rafk yangu hapa anataka aichukue'.
Ujinga mwingne ni wasap, ile ku set popup msg, unatype unamjib huyu kwenye ku send ishaingia nyingnee inaungaaaa,
haya mambo hayaaa banaa, waweza umuombe dingi yako papuchuu, tena unafanya kumbembelezaa, unamwambia usiogopeee hawatajuaaa, nitakununulia chipsi na gauni, aloooo hio kesi hata hakimu haingilii, umnunulie dingi yako chipsi na gauni?
usiombee uwe unasubiria akutumie ada au pocket money, alooo mpk aje kukuelewa ushakula vyakula vyote vya mifugo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mi nakumbuka nilipambana kutoa betrii nikasahau simu hata haina mfuniko,
batan ya power nayo haishikikiiii, msg icon n km inaterezaa, sijakaa vizur naambiwa msg derivered,
nilichofanya ni kuendelea kujichatisha maneno km yale yalee,
halaf mwishoni nikamwambia...
'nijibu haraka hamna umeme nimeomba tuu simu nikaweka laini kwa rafk yangu hapa anataka aichukue'.
Ujinga mwingne ni wasap, ile ku set popup msg, unatype unamjib huyu kwenye ku send ishaingia nyingnee inaungaaaa,
haya mambo hayaaa banaa, waweza umuombe dingi yako papuchuu, tena unafanya kumbembelezaa, unamwambia usiogopeee hawatajuaaa, nitakununulia chipsi na gauni, aloooo hio kesi hata hakimu haingilii, umnunulie dingi yako chipsi na gauni?
usiombee uwe unasubiria akutumie ada au pocket money, alooo mpk aje kukuelewa ushakula vyakula vyote vya mifugo.
Wiki hii haiishi utakoseaSijawahi kukosea. Sijui kwanini naonaga ni uzembe tu mtu kukosea kusend sms.
Sms zinafunga mtu. Na huacha ushahidi. Katika maswala ya miamala ya kipesa na sms huwa nahakikisha nakuwa makini mno. Ndio maana kwangu huwa ngumu kukosea.Wiki hii haiishi utakosea
Ooh sawaSms zinafunga mtu. Na huacha ushahidi. Katika maswala ya miamala ya kipesa na sms huwa nahakikisha nakuwa makini mno. Ndio maana kwangu huwa ngumu kukosea.
Hebu nipe mkasa wako shangazi.Ooh sawa