Tuliowahi kutuma SMS kimakosa kisha zikatutia aibu na kashikashi tuje hapa

Duuh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Hahah [emoji23][emoji23], aisee mshua angesoma hiyo text ungepata tabu mnooo
 
haya mambo hayaaa banaa, waweza umuombe dingi yako papuchuu, tena unafanya kumbembelezaa, unamwambia usiogopeee hawatajuaaa, nitakununulia chipsi na gauni, aloooo hio kesi hata hakimu haingilii, umnunulie dingi yako chipsi na gauni?
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti unaemdai dah
 
Dahh hii dunia imejaa kila aina ya vituko
 
Dada yangu alikosea kutuma ikaja kwangu ilikua inasema (leo umenipa penzi tam ila dudu lako ni kubwa )
Na mimi nika mjibu ( [emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo leo tayari )kasema dogo kausha nikamwambia paka amesikia harufu ya samaki alafu ajifanye hajaisikia
Hadi leo haniangalii usoni
Na binam nishamla sababu ya kukosea sms nakomaa had na mimi anipe
 
Nakmbuka niliwah kosea kwenye group la Whatsapp nlipopanga ,bili ya maji ilitumwa alafu m nikajibu 'asante honey' ile wenge badala ya kudelete for all nikadelete kwangu tu. siku nzima nilishinda ndan naogopa kuonana na mwenye nyumba...ila nazani alijua nmekosea hata hakuuliza
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo cster ako balaa..
 
Kuna siku manzi angu alikua anachat na kabishoo kake kanaitwa ka Rahim sijui!!Si akatuma kwangu et"Raheem nakupenda sana naomba usiniumize plz"Nikajua tu uyu boya kazama chakiume,nikamjibu"Duh.!Ilo jina la Raheem umenibatiza lini mamiloo?"akajichekesha kinafiki uku ana vibrate et analipenda tu ilo jina anapenda awe ananiita ivo au tukizaa mtoto tumuite Raheem,Nilichofanya ni kumualika ahudhurie geto anibatize rasmi ilo jina,Nilimhondomola kinyama alaf nikamtema apo apo.
 
😀😀😀😀😀 nadhani ulijifunga goli
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unamuita dingi mrembo
 
Ha ha nikikuwa nna mademu wawili, wote nnachat nao sasa kuepusha kazi ya ziada kuna text ya kimahaba nimeandika vizuri nikaituma kwa wa kwanza nimeandika na jina lake, nilivyokuwa fala nika edit jina hapo hapo na kumtumia tena, afu demu mwenyewe alikuwa ana wasi wasi natoka na huyo mwingine daah nilipigwa chini hapo hapo
 
Na mshua kuna siku alinizingua nikamsave “ndezi” mwanzoni kabisa hizi apps zilikuwa zinakuletea option ya ku re commend kutuma kwa wengine wajiunge mimi nikaselect contact zote, kumbe ile app ina copy hadi jina kwenye simu linaunganisha kwenye text, mfano nimesave jina lako megapixel inakutumia meseji “megapixel flani invite you”. Daah siku ilikuwa ndefu maana mshua alinitext nani ndezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…