Tuliowahi kutuma SMS kimakosa kisha zikatutia aibu na kashikashi tuje hapa

Dah mi juzi nimetoka kwa mchepuko nikawa nautumia meseji ya kumshukuru kwa kunikatia kiuno vizuri...dah mara ile msg naona inaenda kwa wife, alipoisoma jicho alilonikata nlitamani kufa yaliyoendelea ni siri yangu
ikawaje mwisho?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Aisee hiyo noma[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
aloooo mshua unamwita ndezi
 
Niliwahi kumtumia baba mkwe wangu kimakosa hii sms " we fala acha ungese , matako yako " . Kilichonikuta baada ya hapo ni siri yangu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Siku moja sikwenda kanisani Jumapili, nilikuwa mwenyekiti wa vijana mda huo kanisani kwetu..
Sasa wakati wa ibada nilimtumia SMS mtu "Mambo" ikaenda kwa pastor.
ET MAMBO PASTOR😂😂😂UNANIKUTA MIMI NDO PASTOR NAKUJIBU POA HALAFU NAKUSIKILIZA...

KUNA RAIA KACOMENT HAPO JUU ET KAMSAVE BABA YAKE NDEZI😂😂😂
 
Ilitokea miezi michache iliyopita..... nilikuwa nachat na demu kupanga mtoko mwingine wa kubanduana nikakosea nikatuma kwa mpenzi, ghafla nikagundua nimetuma kusiko na kabla sijajiandaa mpenzi akanipigia nikashindwa kujinasua na talaka nikapewa......ila nilichogundua ni kwamba nae alikuwa ananitafutia sababu toka siku nyingi
 
et unaemdai kakulipa😂😂😂😂😂😂😂
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]aisee hatarii
 
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pole sana mkuu kama nakuona vile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…