TULIOWAHI KUUGWA MAGROUP YA WHATSPP YENYE WATOTO WAZULI HEBU TUKUTANE HAPA

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,734
Reaction score
3,822
Kama kichwa cha habari kinavyoelezea wale wana jf wenzangu mliowahi kuungwa katika ma group ya whatspp yakakutanisha watoto wazuli na warembo

Mimi upande nilishawahi kuugwa ma group flani linaitwaaaa.

1.ufukwe wa mahaba daa nilikutana na watoto wazuli aiseee ila nilibahatika kuchukua mtoto mmoja mkali acha.

2.lingine linaitwa MISOSI yaani uko kuna watoto wazuli acheni tuu yaani siku ambayo tulipanga kukutana daa ilikuwa hatari mnoo.

3.lingine lilikuwa linaitwa tanuru la fikra sema hili kuna mijimama hatari na vitoto vidogo vizuliii

4.lingine linaitwa love eastzoo hatari mno aisee kuna watoto wazuli achaa yaani kuanzia admn wa hilo group achaa tuu saivi nimebahatika kumpata mmoja wapo katoto kazuli kapo chuo ustawi

Haya tuendelee wana jf wenzanguuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
lile grup lako la makahaba pia lina totoz zuri zuri ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…