Saint_Mwakyoma
JF-Expert Member
- Jun 8, 2019
- 865
- 1,208
Kilimo ni kweli kina kipato kikubwa pia ni uti wa mgongo wa taifa lakini kilimo narudia kilimo kina vitimbi vingi kwa ground.
Ukifika mashambani kunatisha mno wivu, chuki fitina na imani za ajabu zimejaa haswa unapolima kilimo cha biashara sio kile cha gunia tatu au nne.
Wote tuliowaipitiwa na miujiza ya binadamu tukutane jamani tusafishane macho juu ya hizi darkside za kilimo cha kibongo.