Saint_Mwakyoma
JF-Expert Member
- Jun 8, 2019
- 865
- 1,208
Haswa ukiwa huyajui hayo mambo yao sasa unaweza hisi tatizo ni mbolea au udongo au una mikosiKwakweli ni changamoto sana...
Rukwa hiyoNilishangaa nimeamka kitandani Kuna maganda ya vitunguu na miguu iliyopauka,kwenda shambani hakuna hata kitunguu kimoja...ni Nkasi jamani[emoji2957][emoji2957]
Kiboko yao ni Ruvuma sasa, mazao yanaenuliwa mchana kweupeee, famchezo nn na kiyenule. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwanza upo mkoa gani mkuu navojua mimi maswala ya uchawi wa kilimo yapo Sumbawanga, Morogoro, Pwani, Tanga, Rukwa, na Njombe sidhani kama utalima dodoma na ukame wetu mtu ahangaike kukuroga huku dodoma na singida mchawi ni hali ya hewa halafu sisi hata mbolea bei hatuijui
mbona hukusema numbani 😂 pole dada mkubwaNilishangaa nimeamka kitandani Kuna maganda ya vitunguu na miguu iliyopauka,kwenda shambani hakuna hata kitunguu kimoja...ni Nkasi jamani🤪🤪
Nishapoa🤣🤣🤣mbona hukusema numbani 😂 pole dada mkubwa
😂 inauma hiyoooNishapoa🤣🤣🤣
We acha tu🤣🤣🤣utatamani kuwaroga wakati wenyewe ndio walozi😂 inauma hiyooo
unajifunza uchawi naweweWe acha tu🤣🤣🤣utatamani kuwaroga wakati wenyewe ndio walozi