Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Nakumbuka miaka ya nyuma nilimpendaga binti mmoja, sasa kimbembe kilikuwa kumwambua nakupenda.
Kuna siku nikasema hapana kumwambia ana kwa ana nimeshindwa ngoja nimwandikie barua, nikaingia zangu chimbo nikaiandika barua yangu nikaitia kwenye baasha nikampa dogo ampelekee.
Dogo naye kufika kwako kamkuta hayupo si akampa baba yake, yule mzee alikuwa mkorofi ni jazba huyu kijana ananiharibia binti yangu ameanza kumfundisha mambo ya kihuni.
Majirani wote wakatoka nje, bi mkubwa akaniambia ukitoka tu umekwisha nikaingia zangu kwenye uvungu wa kitanda nikakaa kimya 😂😂😂.
Bi mkubwa akatoka fulani hayupo, basi baba mkwe wangu kwa hasira mkanye mwanao, huyo akasepa nilimuuzia msala mtoto wa watu alichezea viboko vya kutosha lakini mwisho wa siku tulikuja kuwa wapenzi.