Tuliowahi kuwa memba wa Liberty cinema pale Mwanza sema chochote

Tuliowahi kuwa memba wa Liberty cinema pale Mwanza sema chochote

Nilikuwa natoroka nyakabungo nazama liberty narudi home na makava ya mituni chakalaboti.
Na xmass familia isipoenda liberty Basi hiyo xmass ni batili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka nilikuwa natoroka shule pale Nyanza primary miaka ya 90 navua shati hafu nazama kutazama TARZANI wewe je?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilikuwa napenda midnight cinema, enzi hizo sekondar tight uonekane sehemu ya starehe ww kesho n adhavu ya kutosha lkn saa1630 kama unapita nduki tiket na kuingia cinema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom