Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Maisha yana mengi.
Binadamu tunapitoa changamoto nyingi za maisha katika kujipatia kipato.
Kama uliwahi kuwa kibaka ama jambazi tukutane hapa.
Niliwahi kukwapua elfu 5 wakati nasoma form five huko Unyanyembe. Mshua hakunitumia hela kitambo, kajamaa kapole hivi kana mihela nikakavizia kakiwa kamelala, buku 5 nikaondoka nayo.
Kama umewahi kukwapua , kuiba au kupora cha mwenzio tafadhari tulumbushane hapa ili watu wapate tahadhari.
Alamsiki
Sent using Jamii Forums mobile app