Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,587
Nakumbuka 2006 , Mwanza Mjimwema jirani yetu police hadi leo hajui kama miongoni mwa waliomvamia usiku hadi akasabibisha afuge mbwa mm ni mmoja wapo wakati tunatoka kwake baada ya kukosa tukawa tunarudi kupitia njia ya kuelekea Mkombozi tukakutana na mzee mmoja anaitwa Ramso anatuuliza nasikia kelele watu wanaita wezi wezi bila kujua kua sie ndio wezi tukamwambia wameelekea huku chini twende nae akatufuata nakumbuka nilimpiga panga la nyuma ya shingo hadi leo ana alama nikiiona hua naumia saana maana niliokoka baada ya kumpenda bint mlokole,hilo ni moja kati ya matukio niliofanyaDah najuta sana nakumbuka miaka ya 2003 wakati tunacheza kuna mwenzetu alikua amepewa sh 1000 na mama yake apelele kwenye vyama vyao wakati tunacheza alidondosha mnyamwezi nikaibana dogo tafuta wapi ila kumbe wkt naiokota kuna watu waliniona walikuja na mama yake nikabana wala sikusema cha ajabu badae mama yangu wa kambo aliniongelesha kistaarabu kumbe naye alikua na shida na iyo pesa nikampatia sijui aliifanyia nini?
Kingine nakumbuka enzi za advance tuliiba mafuta ya genereta la shule madum matatu tukauza jambo lilipelekea laliyekua stookeeper kufukuzwa shule msala ukaja jamaa tuliyemuuzia aligoma kutulipa tukaanzisha vurugu akaja kutushtaki shuleni kilichosaidia mkuu alikua mwanetu aliyamaliza kijanja ila ilibid jamaa tumpoze yasifike kwa wana bodi ya shule
Hahaha, wote hao vibaka tuIn short comments zote hapo juu sijaona mwizi, !! [emoji23][emoji23], ngoja nisubirie walioshiriki matukio ya level yangu tuendeleze huu uzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima roho ikuumeNakumbuka 2006 , Mwanza Mjimwema jirani yetu police hadi leo hajui kama miongoni mwa waliomvamia usiku hadi akasabibisha afuge mbwa mm ni mmoja wapo wakati tunatoka kwake baada ya kukosa tukawa tunarudi kupitia njia ya kuelekea Mkombozi tukakutana na mzee mmoja anaitwa Ramso anatuuliza nasikia kelele watu wanaita wezi wezi bila kujua kua sie ndio wezi tukamwambia wameelekea huku chini twende nae akatufuata nakumbuka nilimpiga panga la nyuma ya shingo hadi leo ana alama nikiiona hua naumia saana maana niliokoka baada ya kumpenda bint mlokole,hilo ni moja kati ya matukio niliofanya
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahaaaaa HEAVY.Ngoja ccm itakuja hapa Hivi punde kutupa uzoefu wake kwenye ukwapuaji wa kura na pesa taslim+maliasili,najua hata wewe umejifunzia huko maana ulikuwa green guard,na asilimia tisini ya green guard huokotwa Jela kwa sifa ya kuwa hodari kwa uhalifu(muhalifu sugu unayeogopwa mtaani) kama akina Mjusi and many more!
Eeeh hee?Mimi kuna jamaa mmoja wa Kisukuma tupo boarding school basi Mshua wake akampigia akawa anamtajia namba za vocha ,kwenye double decker niko zangu juu naingiza tu ,nikamaliza then nikazima simu nikajifanya nakoroma,kipindi hicho line haisajiliwi wala nini
Kuweka kwenye simu yake nasikia kilio tu vocha imetumika
Kuanzia siku hiyo akajifunza kuacha show off za kiduanzi eti wakishua basi dingi anamtumia vocha kila mtu ajue
Sent using Jamii Forums mobile app