Tuliowahi kuwa wahanga wa kufanyiwa umafia, kukodishiwa wezi au wauaji kwenye madili tukutane hapa

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Tuliowahi kuwa wahanga wa kufanyiwa umafia, kukodishiwa wezi au wauaji kwenye madili tukutane hapa

Njlifika mkoa x kukamjlisha dili la milioni kadhaa, mzigo ilinibidi niufate mwenyewe.

Nilipofika wenyeji wakanipeleka lodge nzuri, niliona ni ukarimu maana hata watu wa mkoa huo ukarimu sifa yao, walionekana kufahamina na wahudumu wa lodge.

Nikiwa chumbani hapo nilipigiwa simu, aliepiga alikuwa ni jamaa flan tuliwahi kusoma wote shule moja ila ni miaka mingi ilipita, aliitafuta namba yangu kwa class mates wengine, baada ya kujuliana hali akaniambia kuwa hao jamaa ni rafiki zako au, mi nikamwambia kuna mishe tu nmekuja kupiga, ndio akanipa a-z za hao majamaa kwamba ni matapeli na majambazi, kuna mwengine nae aliwahi kuja kwa style kama yangu akalizwa. aliniambia hakutaka tuonane mwanzoni alipoona nipo nao.

Huyo jamaa nilimtoa laki 2, Usiku tukapanga niondoke hapo.

Yani hapo ilibidi niondoke kininja, nilikata umeme wa lodge kwenye main switch, Mlinzi akawa anawapanga wahudumu ili nipate njia ya kuchomoka bila wao kujua, nikafanikiwa kuchomoka, Teksi moja kwa moja wilaya nyingine kabisa.

Usiku nilipigiwa simu na jamaa kwamba mida ya saa tano kuna watu wanne walikuja hapo huku walioniketa wakiwa nje kwenye gari, waligonga sana hodi hadi wakafungua mlango kukuta chumba hakina mtu.

wale wa kwenye gari waliingia nao walianza kuwafokea wale wahudumu, mlinzi nae akawaambia hakuniona,

Walienda nyuma ya lodge huko, mlinzi nae akaenda kusikilizia nyuma ya ukuta basi wakawa wanaambiana kuna mtu kamuuzia huyu fara ramani, wamekosa pesa ndefu, n.k.

Kesho ndio wanapiga simu eti kwamba walikuja asubuhi lodge ila hawakunikuta,

Daah!!!
 
Tuliowahi kuwa wahanga wa kufanyiwa umafia, kukodishiwa wezi au wauaji kwenye madili tukutane hapa

Njlifika mkoa x kukamjlisha dili la milioni kadhaa, ni mali ambayo ilibidi niifuate.

Nilipofika wenyeji wakanipeleka, niliona ni ukarimu maana hata watu wa mkoa huo ukarimu sifa yao, walionekana kufahamina na wahudumu wa lodge.

Nikiwa chumbani hapo nilipigiwa simu, aliepiga alikuwa ni jamaa flan tuliwahi kusoma wote shule moja ila ni miaka mingi ilipita, aliitafuta namba yangu kwa class mates wengine, baada ya kujuliana hali akaniambia kuwa hao jamaa ni rafiki zako au, mi nikamwambia kuna mishe tu nmekuja kupiga, ndio akanipa a-z za hao majamaa kwamba ni matapeli na majambazi, kuna mwengine nae aliwahi kuja kwa style kama yangu akalizwa. aliniambia hakutaka tuonane mwanzoni alipoona nipo nao.

Huyo jamaa nilimtoa laki 2, Usiku tukapanga niondoke hapo.

Yani hapo ilibidi niondoke kininja, nilikata umeme wa lodge kwenye circuit breka, Mlinzi akawa anawapanga wahudumu ili nipate njia ya kuchomoka bila wao kujua, nikafanikiwa kuchomoka, Teksi moja kwa moja wilaya nyingine kabisa.

Usiku nilipigiwa simu na jamaa kwamba mida ya saa tano kuna watu wanne walikuja hapo huku walioniketa wakiwa nje kwenye gari, waligonga sana hodi hadi wakafungua mlango kukuta chumba hakina mtu.

wale wa kwenye gari waliingia nao walianza kuwafokea wale wahudumu, mlinzi nae akawaambia hakuniona,

Walienda nyuma ya lodge huko, mlinzi nae akaenda kusikilizia nyuma ya ukuta basi wakawa wanaambiana kuna mtu kamuuzia huyu fara ramani, wamekosa pesa ndefu, n.k.

Kesho ndio wanapiga simu eti kwamba walikuja asubuhi lodge ila hawakunikuta,

Daah!!!
Haujasema "dili" ya nini na wapi? Inaisadia nini jamii hii story yako?
 
Hmm.. pole sana hapo ulicheza kama Chris Hemsworth au Liam Neeson. Binafsi sijakutana na msala wa namna hiyo
 
Mimi mwenyewe niliwaza hivyo,ila mfanano wake upo kwenye kukata umeme.Nadhani ni stori mbili tofauti.Pole sana mleta mada.
aaahhhh
Umekopi posti ya mtu humu, kwenye uzi wa mauaji ya yule Mkurya na mtoto wake
 
Mimi haikuwa dili bali umalaya.

Nilikutana na binti mmoja ambae tulikuwa tunakulana kisela. Demu hakuwahi kunambia kuwa ana mtu. Kumbe alikuwa na mume ambae alikuwa akisafiri sana.

Siku moja demu alinitafuta usiku tukazagamuane. Haikuwa kawaida yake ila bichwa la chini kusikia papa ya dezo nikashangilia ushindi.
Jambo moja ambalo sikulielewa ilikuwa demu ananielekeza mpaka gesti ya kwenda kuwa keshalipa. Hii haikuwa kawaida yake, maana ni design ya wale mademu wa hata buku anakuomba. Lakini nilipuuza.

Nilisimamamisha boda hatua chache tu ikazima. Nikachukua nyingine hatua kidogo tukaanguka kizembe na boda na simu yangu ikapasuka kioo.
Ikabidi nigeuze tu nirudi nyumbani. Sikuweza kumpigia demu simu maana namba ipo kwenye simu iliyoharibika. Nikalala zangu tena.

Asubuhi baada ya kurekebisha simu nikampigia demu simpati, kujaribu kumpigia shoga ake anaanza kunipa pole. Namuuliza ya nini, akasema si kwa mkasa wa jana wa kupigwa na mume wa demu wako. Ikabidi nimuhoji vizuri ndio akanipa mkasa kuwa mume wa demu alirudi ghafla na kukuta msg zangu za mapenzi na mkewe. Akachukua simu ya mke wake na kunipanga nikutane nae wanifanyie kitu mbaya.

Siku hiyo niliamini Mungu yupo, maana aliniokoa bila ya mwenyewe kujua
 
Mimi haikuwa dili bali umalaya.

Nilikutana na binti mmoja ambae tulikuwa tunakulana kisela. Demu hakuwahi kunambia kuwa ana mtu. Kumbe alikuwa na mume ambae alikuwa akisafiri sana.

Siku moja demu alinitafuta usiku tukazagamuane. Haikuwa kawaida yake ila bichwa la chini kusikia papa ya dezo nikashangilia ushindi.
Jambo moja ambalo sikulielewa ilikuwa demu ananielekeza mpaka gesti ya kwenda kuwa keshalipa. Hii haikuwa kawaida yake, maana ni design ya wale mademu wa hata buku anakuomba. Lakini nilipuuza.

Nilisimamamisha boda hatua chache tu ikazima. Nikachukua nyingine hatua kidogo tukaanguka kizembe na boda na simu yangu ikapasuka kioo.
Ikabidi nigeuze tu nirudi nyumbani. Sikuweza kumpigia demu simu maana namba ipo kwenye simu iliyoharibika. Nikalala zangu tena.

Asubuhi baada ya kurekebisha simu nikampigia demu simpati, kujaribu kumpigia shoga ake anaanza kunipa pole. Namuuliza ya nini, akasema si kwa mkasa wa jana wa kupigwa na mume wa demu wako. Ikabidi nimuhoji vizuri ndio akanipa mkasa kuwa mume wa demu alirudi ghafla na kukuta msg za mapenzi zangu na mkewe. Akachukua simu ya mke wake na kunipanga nikutane nae wanifanyie kitu mbaya.

Siku hiyo niliamini Mungu yupo, maana aliniokoa bila ya mwenyewe kujua
Umalaya mbaya
 
Back
Top Bottom