Tuliowahi kwenda kwa nabii Flora tujuane

Kukosa mwongozo ni jambo kubwa mno kwa mwanadamu, atahangaika sana na mwisho ni kufa na kwenda kukutana na majuto.
 
Nikipelekwa na demu mmoja ana sali pale tukaenda kumuona kama wachumba akaturuhusu kutest mitambo kabla ya ndoa ili tuone kama tunatoshana ,nikaacha kusali siku hiyo hiyo
Hahahaha!.

Alikuwa sahihi kiubinadamu. Ila kiimani alikosea sana. Hahahaha,nimecheka sana Mkuu.
 
Kabisa kimtaani alikuwa sahihi ila kwa kiongozi wa dini alipuyanga
 
Niliwahi kukokotwa kwenda kumuona miaka ya nyuma sijui ni 2013/14 sina uhakika na mwaka ila moyo wangu uligoma kabisa kumwamini yule mama sijui ni mkongo maana alikuwa amejikoboa mfano hakuna.nilipomaliza kutoa sadaka Sikuwahi kugeuka teeeeenaaa.

Kilichonichosha zaidi kuna kijana alimuita atoe ushuhuda kwamba huko Alikokuwa anasali ni kupata kwake ndio kuzuri😳😳…kijana alitoa ushuhuda wa kumponda yule mama wa mlima wa moto heeee…nikajisemea moyoni naona nimekuja kwenye mipasho.
 
Nikipelekwa na demu mmoja ana sali pale tukaenda kumuona kama wachumba akaturuhusu kutest mitambo kabla ya ndoa ili tuone kama tunatoshana ,nikaacha kusali siku hiyo hiyo
Uliacha kusali au uliacha kusali kwake?
 
Wajuba tuliowahi kwenda kwa nabii flora Sala Sala tujuane,Kuna wakati katika harakati za kiimani nikajikuta kwa huyu dada pale Sala sale mbezi ,wakati huo watu kumwona unapanga foleni kubwa!
Yupo Single au
 
Nikipelekwa na demu mmoja ana sali pale tukaenda kumuona kama wachumba akaturuhusu kutest mitambo kabla ya ndoa ili tuone kama tunatoshana ,nikaacha kusali siku hiyo hiyo
Mkuu acha kumsingizia mama wa watu jamani 😂😂😂
 
Nikipelekwa na demu mmoja ana sali pale tukaenda kumuona kama wachumba akaturuhusu kutest mitambo kabla ya ndoa ili tuone kama tunatoshana ,nikaacha kusali siku hiyo hiyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom