Isipowaka utabaki nayo maisha yote kifo tu kitawatenganisha, na hii ni baada ya kufungiwa ndoa na kuapa hata ije shida gani hamtaachana mtavumiliana mwanzo hadi mwishoMitambo gani hairuhusiwi kujaribiwa? Ulipe pesa bila kujaribu, isipowaka....
Aisee..Isipowaka utabaki nayo maisha yote kifo tu kitawatenganisha, na hii ni baada ya kufungiwa ndoa na kuapa hata ije shida gani hamtaachana mtavumiliana mwanzo hadi mwisho
Uzuri kila mtu ana kaburi lake, utajisimulia mwenyewe siku ikifika.Majuto gani wewe ulienda ukayakuta acha porojo za wapuuzi
Uzuri kila mtu ana kaburi lake, utajisimulia mwenyewe siku ikifika.
Mwenyewe tu.Nimsimulie nani?
mmmh ni hatariHii ni kweli,anasema kuna ndoa zimekufa kisa wanandoa hawatoshani,