Tuliowai kuvuta marijuana nakuamua kuacha tukutane hapa

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
Tuliowai kublaze weed , Natukaamua kuacha tukutane hapa tutoe Ushuuda ...Mimi nimeacha kublaze mwaka Jana baada ya kuona ..weed imekuwa shida kupatikana mtaani kwetu ...ndo nikasema Enough is enough.
 
mi bado navuta sina ushuhuda wowote wa kutoa
nakumbuka mabeste alishaimba "kuacha hii kitu inavyonipeleka mbali ni baadaye sana"
 
Nimeacha 2010,nikaanza tena 2015,nikaacha 2017,ntaanza tena December 2018.
 
Dahh mwanangu nimeshindwa kuacha hii kitu ya kismirii, nikiivutaga nahisi nipo naelea hewani hata oficn wananiitaga teja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…