The25824
Member
- Sep 8, 2024
- 20
- 82
Habari,
Kwenye haya maisha, kama bado una mama yuko hai na unaweza kumtafuta kwa simu nakusihi sana usiache kufanya Hivyo.
Ikitokea ni zaidi ya mtoto mmoja, usiamini kila mmoja ana jukumu la kumuangalia mama katika familia yenu, hivyo umuhudumie au usimuhudumie wengine nao watamuhudumia.
Nakusihi usije ukajuta wakati ambao utamhitaji sana na usimuone kwenye uso huu wa dunia.
Inawezekana umegombana na mama yako kiasi uhitaji hata kumsikia.
Ndugu msamehe wewe na anza kumtafuta.
Leo naandika haya namna navojisikia sina ila tu kuendelea kumuombea kila siku ya maisha yangu uko alipo mama Mungu amsamehe makosa yake, nami anijaalie mwisho mwema siku ambayo ataniondoa katika hii dunia.