Dah....hapohapo [emoji2960]Mhh wewe mbaya mkuu wageni wanafikia wapi
Dah....hapohapo [emoji2960]
Na mimi ndo ndoto yangu mamii...Wahindi wanafanyaga sana hii, familia kabla haijatawanyika asubuhi wanakusanyika hapo wanasali na kabla ya kulala.
Na mimi ndo ndoto yangu mamii...
Kusalia sebleni sio kabisa!
Amen amenMungu wako na asikie haja ya moyo wako.
Kuna wimbo nauimba hapa, yaani ukiusikiliza huo eneo la kufanyia sala au maombi au ibada waalah ni zaidi ya sala. Upako trillion.
Watoto hawataelewaMungu wako na asikie haja ya moyo wako.
Kuna wimbo nauimba hapa, yaani ukiusikiliza huo eneo la kufanyia sala au maombi au ibada waalah ni zaidi ya sala. Upako trillion.
poa mkuuTusipotezane sana
bembea chumbani? Kwahyo mkuu mda wa kulala wewe unabembea? Kweli Kiduku Lilo kawaharibu watu hapa jukwaani
Ndoto niliyokuwa nayo kwa mda mrefu ni kuweka bembea chumbani kwangu.
Ndoto nimeitimizi.,bembea ina raha yake
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Nahitaji kuwa nayo nyumbani lkn chumbani hii inatoshaView attachment 1188529