Tuliozaliwa 90's na Bado Hatujaoa/Kuolewa Tukutane hapa

Tuliozaliwa 90's na Bado Hatujaoa/Kuolewa Tukutane hapa

Mkuu kwa wanawake labda ndio waanze kupata presha..
Lakini kambi ya kiumeni tunasema tunaoa na miaka 30+ na mtu aloyezaliwa 1990 ana miaka 28 tu..

Kwahio mida yetu wanaume bado..
Wanawake wa 90's kama hawajaolewa wajitafakali wanakosea wapi na waanze kwenda kwenye nyumba za ibada kuombewa mapemaa
 
Kweli muda una kwenda vijana ea 90's wanaoa
Mie mhenga na mpango huo sina
Kupanga ni kuchagua
 
Back
Top Bottom