General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Wtf...! Dogo amkia kwanza!Wakuu wa 90's hali ikoje huko kwako?
Hivi muda bado au ndo tumechelewa?[emoji23][emoji23]
Mana Jiwe anazidi kaza nati, kuna kuoa/ kuolewa kweli awahi hii?[emoji20][emoji20][emoji20][emoji20]
Au tusubiri amalize miama yake 10?
Khaaaah!!!
Mkuu nimechokoza mada, mi mkongweeWtf...! Dogo amkia kwanza!
Ahaa nimekuelewa.Mkuu nimechokoza mada, mi mkongwee
Sijakuelewa hajarDuuh! Sijawahi kuweka huu upande Mangi lol.
Huo uzi na yaliyomo ndani sijawahi kuweka wewe huko hata siku moja.Sijakuelewa hajar
Huna mpango wa kuolewa?Huo uzi na yaliyomo ndani sijawahi kuweka huko hata siku moja.
hahahaWtf...! Dogo amkia kwanza!
Nyie bado hamjaoa tu?88+ haturuhusiwi kusema chochote hapa?
Ushaolewa bibie?Uzi wa watoto huu, wazee hautufai.