Tuliozaliwa 90's na Bado Hatujaoa/Kuolewa Tukutane hapa

kumbe humu wengi watoto... no wonder tunaongea tunavyo ongeaga... sishangai tena watu wanaogopa ku lipa bill, hawaelewi maana ya kumspoil mwenza wako... yanii uwoga wa kitoto kibaoo,... Well wanaotakiwa kukua mkifikia karibuni utuuzimani...
Mara nyingi tunayoyaongea humu,siyo tunayoya practice in real life,wakati mwingine ni changamsha genge tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…