DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
Jaribu ku copy. Ukisubiri vilegee utaugua uchizi maana havilegei leo wala kesho.Vyuma vilegee mkuu
Ww ni wa 2000's?Hahaaaa. Huu uzi haunihusu mie bana Mangi.
Hahah!..Jaribu ku copy. Ukisubiri vilegee utaugua uchizi maana havilegei leo wala kesho.
Fanya tu mpango wa kuweka jiko ndani
Nini bibue?
Nina wajukuuNini bibue?
Ushaolewa?
Miaka 45 hadi 54 sio mzee ni mtu mzima. Mzee ni kuanzia 55Wanaanzia Miaka 45 kama niliyonayo
Huyo ni mhenga. Apewe heshima yakeWw ni wa 2000's?
Ni utamaduni uliokubalika na jamii ya wanadamuHivi kuoa or olewa ni must? Au ni igaiga tu
Hahahaaaa. Mie wa 60'sWw ni wa 2000's?
Wangapi?Nina wajukuu
We si smemaliza chul mwaka jana?Nina wajukuu
2Wangapi?
Hahahaha,, the world is corrupt to the weak but in reality we should be the one at the helm of our own lives,,,Exposed to corrupt world.
Tobaaaaaa [emoji50][emoji50][emoji50][emoji50]Hahahaaaa. Mie wa 60's
HahahahaHahahaaaa. Mie wa 60's
Hongeraaa
AsanteHongeraaa
Hahaaa. Nastahili heshima yangu kama ulivyotangulia kusema ujue. [emoji12] [emoji12]Tobaaaaaa [emoji50][emoji50][emoji50][emoji50]