Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,082
Tuliozaliwa kati miaka 1970 mpaka 1990 tuna bahati. Naweza sema ndio kizazi the best. Kuanzia malezi tumetoka tumeiva kimalezi. Mpaka sasa wazaliwa wa miaka hiyo wengi wao mpaka sasa wanakomaa na maisha vizuri tu bila wasiwasi hata kama bado ana elimu ya Sarah la saba.
Heshima ndio ilipotulia kwenye kizazi hicho. Elimu tuliyosoma ilikuwa ni hasa. Form 4 ya sasa ni sawa na darasa la saba la enzi hizo. Uelewa uko juu. Kizazi hicho kimeona mengi. Mpito wa kisiasa kutoka kidumu chama cha mapinduzi,mpaka vyama vingi (japo dhana ya chama vingi viongozi wengi wanaikubali kwa nje ya moyo). Kizazi cha sasa wanamsikia tu Nyerere kwa historia,sisi tumecheza nae draft.
Tumeshuhudia mabadiriko ya kasi ya ajabu ya ukuaji wa tecnorojia,kuanzia enzi za kutuma barua zinadondoshwa kijiji husika,na simu za mezani (nazo walikuwa nazo wachache) mpaka simu za mkononi sasa karibia kila mmoja anayo mpaka bibi yangu kijijini tunawasiriana muda huo huo nataka. Habari ikitokea sasa hivi katika maeneo mengi,inasambaa wakati huo huo,sio tena kusubiri kwenye magazeti wiki nzima. Tumeishi kuanzia 19+ tupo mpaka muongo mwingine 20+.
Najua kuna mengi yanakuja mbele. HAKIKA DUNIA INAKWENDA KASI SANA. NB:
Jilinde kwanza mwenyewe kwanza na watekaji nao wanakuja kasi sana,ikiwezekana iruhusiwe tumiliki siraha kirahisi