Hahaha.Karucee Unafurahije? mimi dogo si mgomvi kabisa na akiona wenzie wanapigana yeye anaenda mshika yule anayempenda, kuna mtoto rika lake mgomvi sana na ndugu zake huwa wanamfurahia tabia yake ya ugomvi, we siku moja dogo akamuamulia alipiga tembeza kichapo, wakataka kuamulia nikasema hakuna muache msukuma leo anaweka heshima.
Mtoto wa 2 na wa 3 nataka niwabebanishe kama wako nitachukua uzoefu kwako.
Ha