Tuliozaliwa miaka ya 90 njoeni tujifaliji

Dah yani wewe[emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji21] [emoji17] [emoji17] [emoji17]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
jiulize unakaribia 30 bad unaendekeza majungu ikubali Hali y'ako Maisha lazima yae ndeleee
 
naona muda wa kutokufungua Hotpot na madogo home umewadia πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
 
Kweli aiseee
but fursa hazionekani mwaka pili nipo na vyeti mkononi na mapngo wa kuhamia ghetto kwa mwana hata tukishindia mrenda fresh tyu kuliko home akili inakuaa ime relax kabisa.....πŸ˜‰πŸ˜‰πŸ˜‰
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…