Kumbe nini???
Wee kuna kitu unakitafuta. Kuwa wazi
Picha inajieleza jamani hiki ndo kipindi chetu cha kujidai na maisha ya ujana yapo kwetu najivunia kuzaliwa 90's vipi kuhusu wewe???
Picha inajieleza jamani hiki ndo kipindi chetu cha kujidai na maisha ya ujana yapo kwetu najivunia kuzaliwa 90's vipi kuhusu wewe???
Mwache mtoto wa 90s bhana. Bado bikra huyu acha kumchuriaJana nilikukumbusha mkuu. Umetufichia malapa kwenye hilo gunia nyuma yako. Huu si uugwana, 90's gani hii??
View attachment 564019
Mwache mtoto wa 90s bhana. Bado bikra huyu acha kumchuria
Hapana mkuu. Mi napenda maembe dodoMalapa sie ya nini, mbaya zaidi anapiga nayo picha mubashara. Mzee dude hilo changamkia
Hapana mkuu. Mi napenda maembe dodo
Tulia wife... ni umri tu lakini mengine wametuacha sana...Hebu ndondosheni salamu hapa..... huku mkipiga goti na kushika kichwa(kikubwa)
Tumeshahitimu mkuuNendeni shule kwanza ndio mje humu kujifariji..
Ila shamac we mchokozi jamanJana nilikukumbusha mkuu. Umetufichia malapa kwenye hilo gunia nyuma yako. Huu si uugwana, 90's gani hii??
View attachment 564019