Leo ni siku yangu ya kuzaliwa namshukuru Mungu kwa kunipa umri huu na namuomba azidi kunipa umri zaidi katika ulimwengu huu,kwa dhati kabisa namshukuru baba yangu kwa kunilea katika malezi mema na kunifanya niwe mimi leo namuombea kwa M/Mungu ampe makazi mema ya pepo ya juu,namshukuru mama yangu kwa uvumilivu wake kwa hakika Mungu ampe afya njema na siku nyingi,nawashukuru nyote mnayenifanya ni jihisi kuandika haya nawapenda sanaa