Papasa JF-Expert Member Joined Nov 2, 2018 Posts 2,619 Reaction score 5,780 Jun 7, 2023 #1 Kula chuma hicho kutoka kwa wakudata
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI JF-Expert Member Joined Oct 29, 2019 Posts 9,863 Reaction score 20,806 Jun 7, 2023 #2 Aiseh sawa! Tumekata tamaa YAANI full vituko tu!!
Papasa JF-Expert Member Joined Nov 2, 2018 Posts 2,619 Reaction score 5,780 Jun 7, 2023 Thread starter #3 NAMBA MOJA AJAYE NCHINI said: Aiseh sawa! Tumekata tamaa YAANI full vituko tu!! Click to expand... Lakini ukiwasikia Wanasiasa wanavyo jinasibu na kumuambia mama mwenye nyumba ana upiga mwingi, unaweza ukadhani tuko uchumi sawa na marekani au china
NAMBA MOJA AJAYE NCHINI said: Aiseh sawa! Tumekata tamaa YAANI full vituko tu!! Click to expand... Lakini ukiwasikia Wanasiasa wanavyo jinasibu na kumuambia mama mwenye nyumba ana upiga mwingi, unaweza ukadhani tuko uchumi sawa na marekani au china