Tuliporuhusu bodaboda kuwa usafiri wa kubeba abiria tulikosea, utaratibu uliotumika haukuwa sahihi ndio chanzo cha matatizo tuliyonayo sasa

Tuliporuhusu bodaboda kuwa usafiri wa kubeba abiria tulikosea, utaratibu uliotumika haukuwa sahihi ndio chanzo cha matatizo tuliyonayo sasa

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Ramadhan Ng’azi Kamanda wa Kikosi cha Usalama barabarani alisema hayo kwenye redio ya Crown FM.

“Tuliporuhusu bodaboda kuwa usafiri wa kubeba abiria tulikosea, utaratibu uliotumika haukuwa sahihi ndio chanzo cha matatizo tuliyonayo sasa, madereva".

Je, kama vyombo vya polisi na idara zenu mkubari kuwa mnatumika kisiasa na haya ndiyo majuto yenu kuwa kazi zenu zinaingiliwa kisiasa.

Leo unawezaje kuzuia bodaboda wakati imeshakuwa sehemu za kuwadanganya mfano huu.

GM-epxIWUAAW3S6.jpg


Serikali iliyoshindwa kutengeneza kodi nzuri angalu kila sehemu kodi za gari zikawa rafiki katika kuingiza na kununua. Miundo mbinu ni mibovu na mipango miji ambayo inafanya huduma za magari kutofika huko je itakuwaje?

JE, KWA SASA TUKUBARI SIASA ZA CCM NDIO CHANZO CHA MATATIZO

GSJJ4LdbgAAejHg.jpg
 
Uchumi na siasa ni vitu 2 tofauti kabisa.
 
Mbona kama nilisikia ikisemwa hawa maafisa usafirishaji wasibughudhiwe vyovyote vile hadi mwishoni kabisa mwa mwakani?
 
Back
Top Bottom