Tulisema mwamba amelamba asali, tukambiwa sukuma gang hatupendi maridhiano

Tulisema mwamba amelamba asali, tukambiwa sukuma gang hatupendi maridhiano

Duc in altum

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2021
Posts
1,781
Reaction score
3,591
IMG_20241219_124206.jpg
DJ sasa anaelekea kwa lipumba, hayati mrema na ndugu yao Odinga.
Wanasiasa wa upinzani huwa hawaaminiki hasa africa bara la kiza.
 
Kama jina lako sio mroso, mromi, mmari , meku, haikambee sahau icho kiti
 
Back
Top Bottom