Una umri gani na umesoma mpaka darasa la ngapi?? Nauliza umri kwa kuwa huenda tunasema na mtoto asiyestahili hata kufundwa mambo haya.
Kukusaidia tu, mwanamke huteremsha mayai 2. Moja likiwahi nyumba ya uzazi, lile jingine hurudi taratibu. Ila kuna wakati yote yaweza ingia pamoja pale chumbani na yakapata mbegu yote. Lakini kuna wakati moja linanasa na mwenzake akakosa. likasahau kurudi likawiva na kupasuka likatoka nje MP. Sasa lile jingine likaendelea kukua na kuwa mimba.
All in all, hiyo mimba yaweza kabisa 98% kuwa ni yako. Kwa nini uanze kutokumwamini mwenzio? A good man is stable no matter what comes. Ulimpenda alipotoa pichu, mpende sasa japo kashiba maharage. Kama si yako, lelea hiyo, ikitoka baadaye uweke yako. Acha kumdhalilisha mtoto wa watu.