wataalam wengi huwa wanashindwa kuelewa baadhi ya maumbile ya wanawake kwamfano wanawake wanaoblid mara mbili kwa mwezi. hawasemi hasa tarehe zake za kushika mimba ni zipi ili azichukulie tahadhari. Lakini wanaishia kushauri wanawake wanaingia blid marambili kwa mwezi karibu kila siku kwake ni za hatari ikiwemo zile za blid pia. Kwasababu wakati yai linakufa na kutolewa nje upande wa pili wa ovari nayo inafyatua yai na inaanza kusafiri. Mkikutana wakati wa blid au siku moja au mbili kabla ya blid mbegu zitaendelea kusaka yai hata kwa saa 48 hadi zitakapokutana na kutunga mimba. Hapo Ndo kizaazaa unamaliza kublid baada ya wiki 3-4 unaona km dalili za mimba. Kwa wanawake wa Aina hii tahadhari ni muhimu sana. Hiyo mimba ni yako usiikimbie
sio kudhalilisha ila nikutaka ufafanuzi juu ya swala hili. asante.Una umri gani na umesoma mpaka darasa la ngapi?? Nauliza umri kwa kuwa huenda tunasema na mtoto asiyestahili hata kufundwa mambo haya.
Kukusaidia tu, mwanamke huteremsha mayai 2. Moja likiwahi nyumba ya uzazi, lile jingine hurudi taratibu. Ila kuna wakati yote yaweza ingia pamoja pale chumbani na yakapata mbegu yote. Lakini kuna wakati moja linanasa na mwenzake akakosa. likasahau kurudi likawiva na kupasuka likatoka nje MP. Sasa lile jingine likaendelea kukua na kuwa mimba.
All in all, hiyo mimba yaweza kabisa 98% kuwa ni yako. Kwa nini uanze kutokumwamini mwenzio? A good man is stable no matter what comes. Ulimpenda alipotoa pichu, mpende sasa japo kashiba maharage. Kama si yako, lelea hiyo, ikitoka baadaye uweke yako. Acha kumdhalilisha mtoto wa watu.
Ungetaka Ungekojoaa njee we una sex kavu unategemea nin Baba KijachooMkuu hapo pagumu siyo rahisi km unavyodhani..
Ucjal we jiandae kulea may be ndo mtoto huyo huyo uliebahatika usimtoe Mimba #Saut# Sol *nakuomba Nerea* Usitoe Mimba* yangu *Mungu akileta mtoto *analeta Sahani yakeehuwa ananiambia kila inapotokea
hapana hakutumia morning pills, na calendar yake ilikuwa inafahamika vizuri tu.Atakuwa alitumia morning after pill, aidha yeye alikudanganya juu ya mzunguko wake akatumia hio dawa akijua itasawazisha kesi kumbe haikufaa ilibounce...
Huwaga wanapata bleed flani after a few days regardless ya mimba kutunga au laa, hapo jiandae kulea tu blaza mzigo wako huo!
huwa anapata period mara moja kwa mwezi ambayo ni siku 28.wataalam wengi huwa wanashindwa kuelewa baadhi ya maumbile ya wanawake kwamfano wanawake wanaoblid mara mbili kwa mwezi. hawasemi hasa tarehe zake za kushika mimba ni zipi ili azichukulie tahadhari. Lakini wanaishia kushauri wanawake wanaingia blid marambili kwa mwezi karibu kila siku kwake ni za hatari ikiwemo zile za blid pia. Kwasababu wakati yai linakufa na kutolewa nje upande wa pili wa ovari nayo inafyatua yai na inaanza kusafiri. Mkikutana wakati wa blid au siku moja au mbili kabla ya blid mbegu zitaendelea kusaka yai hata kwa saa 48 hadi zitakapokutana na kutunga mimba. Hapo Ndo kizaazaa unamaliza kublid baada ya wiki 3-4 unaona km dalili za mimba. Kwa wanawake wa Aina hii tahadhari ni muhimu sana. Hiyo mimba ni yako usiikimbie
usiikatae mimba wala usiikubali,stay neutral hadi kiumbe azaliwe ndio utaujua ukweli,kwa sasa usichanganyikiwe mkuu,huo ni mchezo mdogo tu,I'm turning 27 yrs
hayo yatakuwa maajabu ya kenge kukwepa mvua nchi kavu na kukimbilia mtoni!hapana hakutumia morning pills, na calendar yake ilikuwa inafahamika vizuri tu.
Una umri gani na umesoma mpaka darasa la ngapi?? Nauliza umri kwa kuwa huenda tunasema na mtoto asiyestahili hata kufundwa mambo haya.