Tulivyofedheheshwa na bikra hewa ya mwanetu mbele ya kandamnasi

mimi napimaga hizi bikra.., tena kwa ustadi mkubwa sana
 
Ahahaaa ndo maana kuna faal mmoja hapo juu huwa anaiga swaga zangu na kuniponda kwa wachuchu huko pm.
Ngabu the great of all,wewe ni kama mchawi lakini sio,ni digital ndio inakupaisha,so achana na makenge bluu,watoto hawaishi kukulilia,umekuwa kama zimwi linakula watoto wa jukwaa na haliwamalizi,ubarikiwe mkuu,mimi ningepata bahati hiyo nafikiri sasa hivi ningekuwa nimeoa wanawake wanne.
 

Nahisi majirani wananishangaa kwa kunisikilizia jins ninavyoangua kicheko..khaaa yani umenifanya nikatokwa na machozi
 
Ngabu hayupo katoka...
Hahaaaa Ngabu,utanivunja mbavu bro,yaani umeamua kumchomesha mahindi,mwenzio anagonga hodi halafu anajibiwa na kasuku,hayuuuuuuuupoooooooo katoooooooooka,hahaaaaaaa,yaani mtoto katoka Tandika sijui Tandale na joto loote la jiji,kafika akijua utafungua mlango umpe hata juice anywe? daah.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…