Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Enzi zile mitumba iliitwa kafa Ulaya, sehemu pekee uliyoweza kupata kama Ulaya ilikuwa kanisani au kwenye kambi za wakimbizi.
Waliokwenda Ulaya na kuloea waliitwa walibezwa. Vijana wachache walioondoka Tanzania ilikuwa ni kwa scholarship au ku store away na meli.
Siku hizi majina ya kafa Ulaya yamesahaulika.