Umesahau rubber mtoni zilivyokuwa zinatesa watoto wa mjini? Ukionekana na mtumba wanahisi unandugu majuu, basi utatongozwa weee. Wazee wetu walikuwa wanazipata toka kwa wafadhili ng'ambo siku zikifika faza anakuwa mtemi.Enzi zile mitumba iliitwa kafa Ulaya, sehemu pekee uliyoweza kupata kama Ulaya ilikuwa kanisani au kwenye kambi za wakimbizi.Ku
Waliokwenda Ulaya na kuloea waliitwa walibezwa. Vijana wachache walioondoka Tanzania ilikuwa ni kwa scholarship au ku store away na meli.
Sikuhizi majina ya kafa Ulaya yamesahaulika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umesahau rubber mtoni zilivyokuwa zinatesa watoto wa mjini? Ukionekana na mtumba wanahisi unandugu majuu, basi utatongozwa weee. Wazee wetu walikuwa wanazipata toka kwa wafadhili ng'ambo siku zikifika faza anakuwa mtemi.
Kuna kiatu nilipata kwenye mtumba wa baba kilikuwa na kichwa kama cha mamba. Nilikuwa nakivaa kanisani halafu kilefu kidogo. Kama walinicheka hawakusema na mimi nilitembea kama nimewin. Ila kuna gauni silisemi nitajulikana, hilo liliniumbua. Harufu ya mtumba.