Tuliwabeba mmefeli,sasa no!!!!!!

CHAI CHUNGU

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2012
Posts
7,113
Reaction score
933
Ni wamiliki wa vyombo vya usafiri wanampango wa kuiandikia serikali barua ya kusitisha ukarimu wao kwa wanafunzi kisa eti wamefeli sana ingawa walikua wakiwabeba na kuwawahisha mashuleni!!!
 
Nildhani ni muendelezo wa ile story yetu!
Habari ya siku nyingi bana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…