mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Hao ndio mabingwa wa kihistoria almaarufu kama timu ya wananchi toka Jamhuri ya UTOPOLO!! Mwaka huu wamestahili kabisa kushiriki caf champions league na wamefika mbali sana hadi NIGERIA!! Kwa kweli wameitendea haki nafasi waliyoipata kwa mbeleko!!